Like Us On Facebook

TAZAMA PICHA 10 ZIKIMUONESHA PENNY AKIWA KAZINI AKIFANYA YAKE

            Huyu hapa THE FIRST LADY WA XTREME DEEJAYZ VJ PENNY akiingiza sauti kwenye tangazo la uzinduzi wa xtreme deejayz,utakaofanyika ijumaa hii new maisha club dar, kwa kiingilio  cha buku 10 tu.chama linaloendeshwa na zungu mnyama,dvj majey na hyperman hk.


 Hapa akisoma scipt kwa uzuri kabisa,tayari kwa kuanza kupiga panch zake ya  kinyama
 Hapo akiupload picha huku akisoma scipt yake.
 kazi imeanza hatari sanaaaaaa
 baby katuma msg ngoja asome kwanza
 Hapo mr gm anamuelekeza kidogo nilisikia akimwambia,achanganye kiswahili na kingereza hasiweke wazungu sanaaaaaa
producer  sendo akifatilia kwa makini sauti ya vj penny.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari