Kenya imekua nchi yenye rekodi ya matukio kila kukipambazuka.
Ni juzi tu kontena limekamatwa bandarini Mombasa likiwa na vikaragosi vya mafuvu ya watu pamoja na mifupa ya binadamu.
October
11 2013 zimetoka stori nyingine mbili ambazo zimechukua headlines
ambapo ya kwanza ni Mwanamke mwizi wa kuku kulazimishwa kula kuku
mbichi baada ya kukamatwa.
Tukio
jingine ni kuhusu Askari wa usalama barabarani, siku zote imezoeleka
na wengi kwamba askari sio rafiki wa raia na huwa wana lugha za
kijeshi.
Sasa
basi, Askari kadhaa wa usalama barabarani wametoa kituo cha karne pale
walipochukua Biblia na kuanza kuhubiri pamoja na kuimba nyimbo za
Mungu wakiwa na sare zao hivyohivyo kuwahubiria Madereva kufata sheria
za barabarani, hii ni baada ya kuona Madereva wamekua wagumu kuelewa.
Juu na chini ni baadhi ya Askari wakiwa mtaani kuhubiri neno la Mungu, kuombea Madereva na kuimba nyimbo za Kanisani
Unaweza kutazama hii video ya makala ya Citizen TV ambayo ndani yake kuna vitu kadhaa vya Hekaheka mtu wangu.
Unaweza kutazama hii video ya makala ya Citizen TV ambayo ndani yake kuna vitu kadhaa vya Hekaheka mtu wangu.
Cheki video Hapa chini...