Like Us On Facebook

SIPO TAYARI KUMVULIA CHUPI BWANA MISOSI..AMANDA


Staa  wa sinema za Kibongo, Tamrina Poshi  ‘Amanda’ amefunguka kuwa hawezi kurudia  makosa tena kwa kumvulia  nguo  aliyekuwa mpenzi wake, Joseph Rashau ‘Bwana Misosi’.

Akiongea  na  mwandishi wetu muda mchache baada ya wadau kibao kumtaka mwanadada huyo arudiane na mpenzi wake huyo kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook, Amanda alisema tayari ameshapenda kwingine hivyo hapendi kumzungumzia mtu aliyeachana naye pia hana tabia ya kurudia matapishi yake.

"Sipo  tayari  kumvulia  nguo  bwana Misosi, labda  anibake,  kwani  nikishaachana  na  mtu  huwa  namtoa  moyoni  kabisa  na  ndio  maana  sipendi  hata  kusikia  lolote  juu  yake"..Alisema  Amanda
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari