namna hii kweli wataacha kufanya
yao kwa buree kabisa??
waache wajimalizie shida zao
yao kwa buree kabisa??
waache wajimalizie shida zao
Aunt Lulu
NANUKUU
Katika mahojiano yake na gazeti moja hapa jijini nimesikia aunt lulu akisema wanaume wamemla sana uroda bure kwa miaka mingi sana bila faida, ila kwa sasa harudii kosa hilo ni mwendo wa faranga kwa kwenda mbele, sincerely kwa hizo pics hapo juu nani anaweza akawa na mwanamke kama huyu and shower her dollazzzz?? men also haaaaa as they say one man's meat is another man's poison.
kwahio tusiliongelee sana ila wakati mwingine maneno tunayaongea ktk media yanafanya wasanii waonekane kituko katika jamii kabisa na akili zako na unajitambua wewe ni msanii unaweza ukaongea pumbaless kama hii na watu wakasoma na kukuelewa ??
WANAUME WAMENILA URODA BURE MIAKA MINGI SANA BILA FAIDA SASA HIVI SIRUDII KOSA NG'OO: ANT LULU!
hiki ni nini wajameni?
nikisema mtasema Sintah anaongea?? niko hapa kwaajili ya kurekebisha
watu na jamii inachukulia wasanii kama kioo chao, sasa kwa matendo haya
ya lulu na alivyoongea wengine tunaonekana vipi,
ni wakati umefika sasa tujue kuna wasanii na wanaotafuta umaarufu ili ya kwao yawaendee eg kupata mabwana na wanawake
yaani nimekereka sana
na hii kauli ya Aunt Lulu so sasa hivi anauza rasmi na ameamua
kujitangaza kama tunavyojua biashara ni matangazo ?? God forbid.