Msanii
mahiri wa kike Tanzania katika ulimwengu wa Bongo Fleva maarufu kama
Linah, alikanusha uvumi wa kuwa eti yeye amechumbiwa kutokana na picha
alizozipost za Pete ya Uchumba katika mitandao ya kijamii, Msanii huyo
pia aliongeza
kua zile picha alzozipost za pete ya uchumba nizilikua za rafiki yake ambaye kwa sasa anategemea kufunga ndoa.
Mwana
dada huyo alisema kwa sasa bado hajafikiria swala la kuolewa kwa sababu
mpaka sasa mwanaume mwenye nia hiyo bado hajajitokeza na hatokurupuka
katika swala hilona kama muda muafaka ukifika basi anaamini na yeye
ataolewa tu.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.