Like Us On Facebook

SHILOLE AWAPONDA WANAOSEMA KUWA ANAJIVUNJIA HESHIMA JUKWAANI


                Baada ya watu kuongea sana kuhusu jinsi Shilole anavyo fanya show zake na staili ya kuwapandisha wanaume jukwaani na kucheza nao kwa staili ya nisheke popote.


Amejitokeza na kuongea na chombo kimoja cha habari na kusema yeye hajivunjii heshima kama watu wanavyosema bali anakizi mahitaji ya mashabiki wake..."watu wanapenda sana jinsi navyofanya ...ni njia moja wapo ya kuchangamsha show jukwaani kwahiyo sioni tatizo hapo ...wanaosema najivunjia heshima niwashamba..mimi ni msanii lazima nitafute njia ya kuwapa burudani mashabiki wangu...!!!
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari