Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara hayo ni mambo nmeona watu wangu wengi hata wa karibu wakitumia mfano mzuri alikua #babaAngu mzazi akitumia ( R.I.P) ila kuhusu Unga
Ni moja ya vitu nimekua nikiogopa sana maana hakuna hata mtu yoyote wa
karibu yangu niliyeona akitumia, zaidi nilichoona ni wote waliotumia hamna
hata mmoja kati
yao alietumia hayo madawa akafanikiwa.. nachohitaji
kuwajulisha watu wangu wote ni
kwamba imani yenu kwangu kuhusu
kijitambua isishuke kwa chochote mtakaacho sikia ila zote zinaweza kua
FUnunu tu! Stay tune.
-Djchoka