Jeneza lenye mwili wa marehemu Anastazia Saro likiwekwa kaburini.
Askofu
Mkuu wa Jimbo la Hai, Aminirabi Swai akiongoza ibada ya mazishi na
kisha kuweka shada la maua katika kaburi la marehemu Anastazia Saro.
Mwakilishi
wa serikali katika maziko ya marehemu Anastazia Saro, Mkuu wa Wilaya ya
Hai, Novatus Makunga akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu.
Mtoto Alvis Anther akiweka shada la maua katika kaburi la bibi yake marehemu Anastazia Saro.