MASTAA
kunako
tasnia ya filamu Bongo,Jackline Wolper na Vincent
Kigosi’Ray’wametembelea mbuga za wanyama Jijini Arusha huku wakiendelea
kurekodi filamu yao mpya.
Kupitia
account
zao za Instragram wamepost picha mbalimbali wakitazama wanyama huku Ray
akiandika …Hii Sehemu inaitwa National Parks ipo Arusha. Kuna vivutio
vingi sana vya kuifanya Nchi Ye2 Kujitegemea bila Misaada.
…Hapa Kuna Maji ambayo Yanatoka Juu na kuporomoka Chini yani WaterFalls.