Like Us On Facebook

NANDO ACHAGULIWA KURUDI TENA MJENGONI KUIWAKILISHA TANZANIA KWENYE BIG BROTHER MWAKANI


Ammy Nando ambaye alituwakilisha mwaka huu katika shindano la Big Brother Africa, The Chase amepata nafasi ya kutuwakilisha tena katika shindano hilo hapo mwakani 2014. Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika katika Ofisi za Multi Choice Tanzania zimethibitisha hilo. Nando alikuwa disqualified na kutolewa katika shindano hilo mwaka huu baada ya kugombana na kutishia kumchoma kisu mshiriki kutoka Ghana anayejulikana kama Elikem. Sasa sijui jamaa kajirekebisha na hataleta fujo tena???? Habari za uhakika zinathibitisha kuwa Nando amekubali ofa hiyo na yuko tayari kwenda kuipeperusha bendera ya Tanzania tena.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari