Huyu
ni mkenya aliyekuwa ameiba kuku.Wananchi walipomnasa walimpa
kichapo kikali na kisha kumfungia ndani ya tenga la kuku kwa
ajili ya kumchoma moto….
Wangali katika maandalizi ya kutafuta petrol, polisi waliwasili eneo la tukio na kumuokoa kwa kumpeleka kituoni.
Bofya hapo chini ili kuiona picha hiyo...