MSANII wa
Muziki
wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga
'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya
kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na
mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi
Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake
umeshafikia hatua ya kuolewa.Linah akiwa kwenye pozi...akiwaza namna atakavyoanza maisha ya uchumba katika umri huu wa utu uzima wakeakionyesha pete ya uchumba