Nassor Bin Slum akiwa amelazwa katika hospitali ya Apollo, Hyderabad City nchini India baada ya kufanyiwa upasuaji leo |
Goti la Bin Slum kushoto baada ya upasuaji |
“Mzee wangu kwa mwezi mzima nipo naye huku, kwa kweli hali yake si nzuri, na yupo chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), kwa kweli nakabiliwa na mtihani sana, nipo katika wakati mgumu sana,”alisema, ambaye baba yake ana umri wa miaka 78.