Like Us On Facebook

MADAM RITA AZIDI KUJIPENDEKEZA KWA NEY WA MITEGO SASA AMPA UJAJI BSS

           Hii Itawashangaza wengi lakini mie nimeipenda sana , Baada ya Ney wa Mitego Kuiponda Bongo Star Search na Kuuliza kama kweli washindi  wanapewa zawadi huku akiwaponda kuwa wamechoka...Madam Rita Ameibuka na Kumpa Ujaji Ney katika shindano hilo ...Ataaza kuonekana Wiki Ijayo ,,Big up najua hii Itawavuta watu wengu kutazama show hiyo.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari