CEO abebi Tanzania nzurure
Unstoppable the Don Ijumaa kareem..... |
Posted by CEO Sintah (Unstoppable)
- AnonymousOctober 18, 2013 at 6:49 AMHivyo viguu mweh..mimba ilichoropoka naskia?????poleReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 6:53 AMJe wajua mikorogo inayotengenezwa kwa kutumia chemical kali humaliza nyama za miguu??na matokeo yake mtumiaji kuwa na viguu vyembamba kama fito??chunguza watumiaji wengi wa mikorogo viguu vyao vikojeReplyReplies
- AnonymousOctober 18, 2013 at 10:44 AMMdau point yako kama kweli vile..!
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 6:55 AMUmefanana na dida mna undugu?ReplyReplies
- TINANHOOctober 18, 2013 at 11:31 AMMtake radhi CEO wangu faster
- AnonymousOctober 18, 2013 at 1:35 PMhahaaaaaaaa oiiiii nimecheka kafanana nanani mdau??ah humu rahasana
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 7:04 AMTah! Usiwe unavaa nguo fupi, hii ni kiroho safi, waachie wenyewe wenye miguu yao. Ngoja wafike kazini utanangwaje?Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 7:37 AMDuuh!!!!!!!!!!! Haya bhana. Ijumaa Kareem.Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 7:42 AMAndunje mimba kachomoa bac ndo anavotuonyesha hapo kati looooh! umeogopa kuzaa mtoto wa majanini! ila ww nikifupiiiiii! inshort cku nikikukuta njian nakuzaba mabao!!ReplyReplies
- AnonymousOctober 18, 2013 at 10:06 AMHahahaaaaaa,u hv made my day!! Thank u!!
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 7:52 AMMiguu mibayaReplyReplies
- AnonymousOctober 18, 2013 at 9:09 AMNIMEAMINI BIBI ALIKUAANASEMA WAJUKUUZANGU MWANAMKE UWE USAFIRI'MIGUU' TAKO UTAJALADIA LEO NDO NUMEONA KWA SINTA .KAPENDEZA ILA UKIJA CHINI MGUUU MEMKOMAA KAA ASKARI MAGEREZA MWEMBAMBA .SHOGA UNAENDA CHINA UJALADIE KIDOGO MBONA WANAMADAWA
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 8:10 AMsasa ndo umeamua utuwekee serengeti boys wako,lol..waweza kulea lakinii? au ni mishauo tuu?yataka moyoooo...Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 8:13 AMembu acha ushamba maskini wewe wenzako tunayo original nini hilo feki huna hata hela ya kugusa hiyo begi original mtu mwenyewe umesafiri sana china na vishela vyako vitatu mxiiiiiuuuuuuReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 8:26 AMEee sintah umependa mbaya, ninakupendaje, nipe siri ya ngozi yako sintah je ni kitu cha no name nami nikachukue,naona baby kanarukaruka all the best.Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 8:48 AMUMETOKELEZEA NIMEPENDA TOP YAKO NAMIWANI BASI.ILA UMEPUNGUA TENA?AU NDO MIMBA INAKUKONDESHA?MAANA ULINAWIRI SAANA ILA GAFLA UMELOOSE UZITO.SHOGA UNAMAZIWA KM MIMI HAPA MAANA HATA NIPUNGUE VP MTINDI WANGU UPO TUU.ILA NIPOWA HATUNAHAJA YA FEKI BOOBS.THANX GODReply
- RosiliciousOctober 18, 2013 at 8:56 AMHiyo ndani tait fupi au???dah umenikumbusha enzi za mcngi na sec!!full kuvaa tait fupi mwee.umependeza kidogo huyo sharo ndo mnigeria wakoReplyReplies
- TINANHOOctober 18, 2013 at 11:27 AMHUYO ANAITWA CHIDI MAPENZI MUUZA PAMBA KALI HAPA BONGO
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 8:57 AMyan ww upo powa sana......ungekuwa huongei hongei sana ungekuw more beautful....done,kubwa la maadui.....sijui nini,,,,,fake ,,,original....etc...ungeacha ss tukusifie kama yule dada...Anita closert.....simple...ww huna confidence hata chembe......halafu unashindana na watoto wadogo dalin......mm ungefanya haya wakati upo kaole...ningekupa shikamooo....ila unawadharau wadada wa chini...yani wasio na mabeg original.....sio class yako????????ok basi powa hongera ww mamie....Reply
- kimOctober 18, 2013 at 9:27 AMsawa sawa naona umemfata diamond na chidi mapenziReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 9:31 AMnahic mwaka huu lazma Wamlete riri manake yupo south africaReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 9:32 AMmhh kumbe unamiguu mibaya hivyo na huyo kijana ni mchezo shoo nii kama siyo dancerReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 9:34 AMumependeza mamy sintah,navutiwa na jinsi ulivyo stronger kwaku hundle maneno ya HATERs.keep it that way ,fanya yako yanayokupa furaha na amani coz we dont live twice.ReplyReplies
- AnonymousOctober 18, 2013 at 1:30 PMHEE na wewe stronger ndio nini......kama hamuwezi si muonge kiswahil
Reply - AnonymousOctober 18, 2013 at 9:36 AMCEO NTAFURAHI SIKU UKIWA PROVE HAWA WADADA WRONG.UMEPENDEZAAAAAAAAAAAAReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 9:41 AMAchen kumponda Sintah kwanza kwa alivyo na umri wake ni mkubwa saaaaana ni wa kupewa hongera mana hajazeeka. Sintah hongera kwa kutunza urembo wako umependezaReply
- Komando YossoOctober 18, 2013 at 9:57 AMSifa sifa kujisifu,aisee nimewaamnia wapare,manpenda attention mno lohReply
- Disminder orig baby October 18, 2013 at 10:07 AMfashion kweli ni kile kipendacho moyo!!Reply
but shots hazikupendezi kwa usafiri huo though you look nice. - AnonymousOctober 18, 2013 at 10:51 AMHiyo miguu mwaka mpya itafika?Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 10:53 AMLv original zote ndani nyekundu fungua yako tuioneReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 10:56 AMnakupendaga ila ukianza kurimgishia vitu vya watoto wa vidudu huwa nakuchukia... ringishia vitu vya maana kama nyumba. biashara nk.. ila umependeza nway..Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 10:59 AMUmeongea yoooote ukaona haitoshi eti utamzaba mabao.. Nimechekajeeee. Watu wamepinda jamani. Khaaaah. Sinta mrembo ila usivae nguo fupi bana..Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 11:49 AMIla kapendeza jaman,kuh miguu hiyo ni kazi ya Mungu tucmkufuruReply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 12:22 PMOriginal or fakeReply
Woooote tutazikwa chini sides
Miguu ka unatembelea mikono - AnonymousOctober 18, 2013 at 12:30 PMkuna kitu unapaka kinakuharibu, be natural you will regreat one day.Reply
- AnonymousOctober 18, 2013 at 1:00 PMGumegume hilooooooReply