Like Us On Facebook

BAADA YA KUPOTEZA FAHAMU PALE ALIPOSIKIA DIAMOND AMERUDISHA PENZI LAKE KWA WEMA.....PENNY ANENA YAKE YA MOYONI..

             Habari za uhakika kutoka kwa beki tatu wa Penny ambae aliomba  jina lake lihifadhiwe alisema kuwa “ Kwa kweli Penny anahitaji msaada wa kufarijiwa kwa sasa ishu ya Diamond kuonwa China akiwa na Wema Sepetu imemuweka vibaya kiasi cha kushindwa kula na juzi kapoteza fahamu baada ya pressure kupanda kwa kiwango cha juu” Alisema dada huyo
Aidha habari zaidi ziliendelea kusema kuwa mtangazaji huyo kwa sasa anajipanga na maisha ya “ujane” kwani anamini mwisho wa mchezo umefika kati yake na Diamond “ Penny ameanza kujipanga katika maisha mapya ya ujane sasa hivi ameanza kushinda kazini kwake maneno Komakoma na wastaafu wenzake japo kurejea kwenye hali yake ya kawaida” Ilielezwa

Hata hivyo mtangazji amekuwa akiumia zaidi akifikiria namna ya kurejesha mahusiano yake na Wema tena pamoja na kampuni yake ya zamani ambayo ni Kajala, Lulu, Jenifa Pemba, ambao hao wote walikuwa wamemtenga kwa kosa la kupora mume wa mtu Diamond ambae alikuwa na Wema Sepetu.

"Nimempa kila alichohitaji mwanaume huyu hata vingine ambayvyohajawahi kupewa lakini wapi na kuifanyia wema familia yake lakini wapi aah kha jamani ngojeni nipumue tu"

Katika hatua nyingine familia ya Diamond imepigwa na butwaa kwa taarifa hizo za Diamond na wema kurudiana kwani ni dhahili kuwa familia hiyo ilikuwa inafurahishwa na mkwe wao Pennieh ambae anasifiwa sana kwa mambo ya kupika mahanju mati ambapo tofauti na Wema Sepetu ambae yeye hajui chochote

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari