Asikwambie mtu hivi ndio party za
kuosha magari huku wanawake wakiwa na bikini zinavyofanyika huko
Uganda...kwa kizungu wanaziita Bikin Car Wash ...Hapa mambo
yanayofanyika huwa ni aibu watoto kaaa mbali sanaaaa....kama
unavyojionea kwenye picha ...Mdakuz unaonaje hapo? Bongo Je zipo hizo
?ama ndio zile Baikoko?
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.