Like Us On Facebook

VIDEO:DMX ANASWA AKILANDALANDA UCHI HOTELINI



 
              DMX akikimbia uchi hotelini jijini Detroit nchini Marekani.
 
Akivaa 'boxer' yake.
 
...Baada ya kuvaa.
 
...Akirudi chumbani kwake.
KATIKA hali ya kushangaza, rapa kutoka nchini Marekani, Earl Simmons maarufu kwa jina la DMX wikiendi iliyopita aliamua kufanya kituko mbele ya mhudumu wa hotelii moja iliyopo jijini Detroit nchini Marekani kwa kuvua nguo yake ya ndani 'boxer' na kubaki mtupu kisha kuanza kulandalanda hotelini humo. Staa huyo wa Hip hop alijisahau kuwa katika hoteli kubwa kama hiyo aliyokuwemo kuna kamera ambazo uchukua kila tukio linalotokea. Katika video hapo chini, msanii huyo anaonekana akivua nguo yake ya ndani na baadaye kuivaa. Alipohojiwa kuhusu tukio hilo DMX alisema: "Nilijihisi kutaka kukimbia nikiwa mtupu kwa muda tu, na sioni aibu kwa chochote nilichofanya."
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari