Like Us On Facebook

VIDEO YA IRENE UWOYA AKIWA MTAANI ANAREKEBISHA NYUMBA ZA WATU.

                      Ni habari njema zilizoeneza zaidi ya wiki tatu zilizopita kuhusu show mpya ya TV ambayo inaongozwa na mwigizaji Mtanzania Irene Uwoya.
Irene kupitia AMPLIFAYA ya Clouds FM alitangaza kuacha kuigiza movie na sasa atawekeza muda wake kwenye show ya TV ambayo imelenga kukarabati nyumba mbovu za Watanzania.
Utaratibu anaoutumia ni kupokea maombi ya Watanzania wanaohitaji nyumba zao kukarabatiwa alafu Irene na timu yake ndio wanachagua nyumba ya kuikarabati, huduma ambayo wanaitoa bure….
Hii video hapa chini ni sehemu ya mfululizo wa show ya Irene Uwoya ambayo inaonekana @Clouds_TV peke yake.


                     TAZAMA VIDEO YA KIPINDI CHAKE HAPO CHINI ......


TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari