Like Us On Facebook

VIDEO: MTANDAO WA FEDHA HARAMU WABAINIKA KUWEPO TANZANIA..


Mtandao wa kimataifa unaojihusisha na utengenezaji wa fedha bandia unaowahusisha baadhi ya wafanyabiashara wa nchi jirani ya Kenya na Tanzania umebainika kuwepo nchini kufuatia jeshi la polisi kukamata tena dola za kimarekani na kusababisha fedha bandia zilizokamatwa katika kipindi cha siku mbili kufikia zaidi ya shilingi milioni 250.

TAZAMA RIPOTI YA ITV HAPO CHINI 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari