Like Us On Facebook

UPDATE...!!! MWILI WA MWANAMKE ALIEUWAWA KIKATILI KAWE WASAFIRISHWA KWA MAZISHI MKOANI DODOMA...

                             Mwili wa Marehemu Yusta Mkali ukiwa tayari kwa kuagwa Hospital ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam,na kuanza kwa safari ya mazishi yatakayofanyika kijiji cha Nzasa  Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.




 Baadhi ya wafanyakazi aliokuwa akifanya nao kazi wakitoa heshima za mwisho 

 Wakinamama wakilia kwa uchungu

 Mtoto wa Marehemu Baraka Simon(12)akimuaga mama yake mzazi kabla ya safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi kuanza aliemshikilia ni mama yake mkubwa Lucy Ngorido.

Jeneza lililobeba Mwili wa Marehemu Yusta Mkali likifunikwa na kupandishwa kwenye gari tayari kwa kuanza safari ya kwenda mkoani Dodoma kwa mazishi yatakayofanyika hapo kesho.



 Mtuhumiwa Musa Senkando ambaye bado anatafutwa na Polisi kwa mahojiano wananchi tunaomba msaada wenu kwani huyu mtu ni hatari sana katika jamii yetu
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari