
M2 the P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea
M2 THE P, Dully Sykes, member wa Chamber Squad na wengine wakimuombea rafiki yao kipenzi marehemu NgwairShughuli hiyo ya kumuombea marehemu Albert Mangwea ilienda sambamba na kuwasha mishumaa kwa imani ya kikristu ili kumwangaza huko aliko.
Maze B akipiga picha kaburi la Ngwair
Mchizi Mox akiwa ameshikilia mishumbaa mbele ya kaburi la Mangwair
Sala ya kumuongea Ngwair ikiendelea



SOURCE: BONGO5

