Ukatili huo unajidhirisha baada ya ongezeko kubwa la matukio ya ubakaji yanayoambatana na mauaji ya kikatili kama njia mojawapo ya kuficha ushahidi.
Wiki hii mitandao ya nchini Ghana imeripoti juu la tukio la mwanamke mmoja aliyebakwa na kuuawa kikatili kwa kuchomwa kisu tumboni na sehemu za siri...