AIBU. aibu kubwa. Manchester United imefungwa mabao 4-1 na wapinzani wa Jiji, Manchester City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad.Kocha David Moyes amekaribishwa vizuri na Manuel Pellegrini kwa mabao ya Sergio Aguero dakika ya 16 na 47, Yaya Toure dakika ya 45 na Samir Nasri dakika ya 50.Wayne Rooney alitengeneza heshima binafasi kwa bao lake la kufutia machozi aliloifungia United dakika ya 78.Kikosi cha Manchester City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Kolarov, Jesus Navas /Milner dk71, Toure, Fernandinho, Nasri, Aguero/Javi Garcia dk86 na Negredo/Dzeko DK75.Manchester United: De Gea 5, Smalling, Ferdinand, Vidic, Evra, Carrick, Fellaini, Valencia, Rooney, Young/Cleverley DK51 na Welbeck.
At the double: Sergio Aguero scored twice as City romped to victory
Opening up: Aguero scores the opening goal of the derby in the first half
Perfect start: Aguero celebrates scoring the first goal in the derby
Doubling the advantage: Yaya Toure put City 2-0 up in first half stoppage time
Derby delight: Yaya Toure celebrates putting City 2-0 up on the stroke of half time
Face in the crowd: Robin van Persie missed the game through injury and watched from the stands
Not going to plan: Wayne Rooney, Danny Welbeck and Michael Carrick stand dejected after another goal
Crowded out: Marouane Fellain vies for the ball with Manchester City's Yaya Toure and Vincent Kompany
Three and easy: Aguero scores his second and City's third in the derby
It's getting better and better: Aguero celebrates with Alvaro Negredo and Samir Nasri
Mixed emotions: Manuel Pellegrini and David Moyes share different emotions on the touchline
Easy does it: Samir Nasri celebrates making it 4-0
Punch perfect: Nasri hits the corner flag in celebration
Too little too late: Rooney scores from a free kick to make the score 4-1 in the final ten minutes
Teammates on different sides: Joe Hart shakes hands with Rooney at the end
Trudging off: Rooney, Chris Smalling and David de Gea leave the pitch dejected at the end
Nightmare: Moyes had a horrible experience in his first Manchester derby
One sided: Manchester City dominated the stats in the derby
PANDE ZA ITALY
MSHAMBULIAJI Mario Balotelli amekosa penalti kwa mara ya kwanza maishani mwake wakati AC Milan ikilala 2-1 nyumbani katika mchezo wa Serie A dhidi ya vinara Napoli Jumapili hii.
Balotelli, ambaye amefunga penalti zake zote 21 za awali katika mechi rasmi, alishuhudia mkwaju wake ukiokolewa na kipa Pepe Reina dakika ya 60.
Hata hivyo, 'Supermario' aliifungia Milan dakika ya 90 na ushei kabla ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano na kutolewa nje miwishoni mwa mchezo. Mabao ya Napoli yalifungwa na Britos dakika ya sita na Higuaín dakika ya 54 pasi ya Zuniga.
Nyekundu: Mario Balotelli, kuahoto akitulizwa na mchezaji mwenzake wa Milan, Marco Amelia baada ya kulimwa kadi nyekundu
Kachaa Mario: Baloteli akibishana na refa Luca Banti
Anakosa: Mario Balotelli akikosa penalti
Kaokoa: Pepe Reina ameokoa penalti ya Balotelli
Amefunga: Gonzalo Higuain ameifungia timu yake mpya
La pili: Miguel Britos akiifungia Napoli bao la pili
Pigo takatifu: Balotelli akifunga kwa tik tak