Katika utetezi wake alioutoa kupitia ukurasa wake instagram, Irene Uwoya amesema kuwa chanzo cha kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake za kesi aliyomfungulia Shigongo
HII NDO KAULI YAKE :
"Mi ni mti wenye matunda milele siogopi kupigwa mawe…
"Shigongo kaamua kunichafua coz nina kesi nae mahakamani…anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho wa siku sheria itafuata mkondo wake….
"Mi na yake mengi nayajua ila ngoja ninyamaze nisimwagiwe tindikali"