Like Us On Facebook

BASI LA AL SAEDY LAPATA AJALI MBAYA LAGONGANA USO KWA USO NA LORI CHALINZE DODOMA JANA.


Lori la mizigo lililogongana uso kwa uso na basi la Al - Saedy lililokuwa likitoka Dar Es salaam kuelekea Mkoani Dodoma jana usiku linavyofanana baada ya kugongana na basi hilo uso kwa uso

 Basi la Al Saedy linavyoonekana mara baada ya kugongana na lori la Mizigo Maeneo ya Chalinze Mkoani Dodoma Jana Usiku mpaka naondoka eneo la tukio idadi kamili ya waliopoteza maisha na kujeruhiwa bado haijafahamika


Jana Majira ya Saa Nne usiku Basi la Al Saedy linalofanya safari zake kati ya Dar Es Salaam na Dodoma lilipata ajali mbaya kwa kugongana uso kwa uso na lori la mizigo maeneo ya Chalinze Mkoani Dodoma , Ajali hiyo ilihusisha Basi hilo la Al Saedy na lori la mizigo lililokuwa likitokTunaondoka eneo la tukio idadi kamili ya waliopoteza maisha wala kujeruhiwa bado haijafahamika.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari