Katika kipindi hiki cha likizo ambapo vyuo vingi ni mapumziko, mwanafunzi mmoja mkazi wa dar es salaam wa chuo fulani hapa nchini amejikuta akijipiga picha za nusu uchi kwa malengo ya kumtumia boyfiend wake ambaye yupo mkoani nje ya dar es salaam.
ILIKUAJE ZIKAVUJA?
Boyfriend wa huyu dada alimwomba amtumie picha za uchi kwa kua ni muda mrefu hawajaonana...yaaani alimmisss sana so alimwomba amtumie kenye email yake .....
Yule dent hakua na hiyana kwa kua wao ni kitu kimoja...hapana siri kati yao akamtumia zile picha.
Kwa bahati mbaya yule kaka hakua na computer wala simu ambayo ina uwezo wa kufungua internet....so ilibidi aende kwa rafiki kucheck zile picha...kiukweli yule kaka alikua ana ukame sana....
so alipofika kwa rafiki yake alimweleza kuwa ana shida na internet anaomba amsaidie anataka kucheck email kunakitu katumiwa,,,
alipewa computer na akalogin kwenye email yake na kuzidownload zile picha...
kwa kua yule kaka alikua si mjuzi sana wa komputer hakuelewa kuwa zile picha zimebaki kwenye computer...so akalog out bila kutambua kama picha zile zipo kweupeeee kwenye desktop na bila kuzifuta...