Like Us On Facebook

ABSALON KIBANDA AKIFUNGUKA KUHUSU KUFUNGIWA KWA GAZETI LA MWANANCHI

             Mara baada ya habari za kufungiwa kwa magazeti ya Mtanzania na Mwananchi kutoka, Mhariri Mkuu Mtendaji wa New Habari Corporation, Absalom Kibanda aliongea na Mtangazaji wa kipindi cha Makutano Magic FM, Fina Mango na kuelezea namna alivyozipokea habari hizo na kukemea kitendo hicho alichodai ni cha kibabe na kuwa wahariri hawakupewa nafasi ya kujitetea. Sikiliza mahojiano hayo hapa.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari