Like Us On Facebook

WEMA SEPETU JINSI ALIVYOSHEREHEKEA SIKU KUU YA EID

                                                                 WEMA SEPETU
Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni pamoja kupiga nao story nyingi. 


Picha kama hii haijawahi kutoka ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari