AIBU.....AIBU.......
Tabia ya kupiga picha chafu za utupu imeendela kuwatafuna akina dada hapa nchini.....
Pamoja na jitihada za kuwaanika watu hawa, tabia hii imeendelea kuota mizizi kila kukicha.Wahusika wakuu wa uchafu huu ni akina dada.......
Iko haja kwa akina dada kujitathmini.....Kwa nini kila siku ni wao tu???
MSIMAMO WETU:
Tutaendelea kuwaumbua wote wapiga utupu bila kujali umaarufu,pesa walizo nazo au ngazi zao za uongozi