Like Us On Facebook

RAY C AWAFUNGULIA NJIA MATEJA KWENDA IKULU

Kitendo cha Rais Jakaya Kikwete kumuita ikulu mwanamuziki Rehema Chalamila ‘Ray C’ kisha kumsaidia kumtoa kwenye dimbwi la utumiaji wa madawa ya kulevya, kimesababisha kiongozi huyo wa nchi kulazimika kuwaita na mateja wengine ili kuzungumza nao.

 
 Rehema Chalamila 'Ray C' alipokuwa akimshukuru Rais Kikwete kwa msaada wa matibabu. (Picha na Ikulu)
Naye Rais JK katika kukisaidia kituo hicho, ameitaka Wizara ya Afya kupitia Kitengo cha Magonjwa ya Akili na Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Madawa ya Kulevya kushirikiana nacho ili kiweze kuwasaidia vijana wengi kadiri inavyowezekana.
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari