Jeneza lenye mwili wa Askofu Moses Kulola |
Wachungaji wakijipanga kuusubiri mwili wa Marehemu |
Mmoja ya watoto wa kiume wa Marehemu akilia kwa uchungu |
Baadhi ya ndugu katika ibada ya kumwaga |
Baadhi ya wachungaji |
Askofu Sylevester Gamanywa akimfariji mke wa marehemu Dr Moses Kulola |
Msaidizi wa Askofu la EAGT Asumwisye Mwaisabila mwenye mvi ambaye ameachiwa kanisa la EAGT akiongoza mamia ya waombolezaji |
Jeneza lenye mwili wa Askofu Dr Moses Kulola |