Like Us On Facebook

MUME WANGU ANAJINSIA MBILI YA KIKE NA YA KIUME.



Habari; nilipokea simu kutoka kwa shemeji yangu yani mke wa rafik angu ambae tangu aolewe ni miezi miwili imepita,
alinitaka niende nyumbani kwake haraka kuna jambo muhimu linalogusa ndoa yake anataka kunieleza na nijue namna gani tutasaidiana kuliweka sawa.


nilishtuka sana lakin nikakomaa kibishi,naam nilipofika nyumbani kwake akupoteza mda akanipa mkasa mzima kua mumewe ana jinsia 2 ya kike na ya kiume (duuuuuh!!!) lakin ya kiume ndo iko active kiasi kuliko ya ile ya kike hvyo nimsaidie kwa njia yoyote ile hata kama inawezekana kufanya operation kwa gharama zozote zile mradi tu amkomboe mumewe kwan anampenda sna.


aliamua kuniambia mim sababu ndie nilie karibu sna na mumewe na hata hvyo mumewe ndie aliemuelekeza afanye hvyo,licha ya urafik pia mi ndo nilikua mshenga wake.


inasemekana tangu enzi za ujana wake hyo jamaa hakuna aliejua siri hii zaid ya wazaz wke{r.i.p} na hakuwa kabsa akijihusisha na wanawake mpaka alipoamua kuoa. naomben ushaur jins gan naweza msaidia rafik yngu na mkewe dharau wekeni kando.

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari