Like Us On Facebook

JESHI LA WANANCHI JWTZ NA MONUSCO LAFANIKIWA KUITEKA NGOME KUU YA WAASI WA M23

                FIB Tanzania (special forces in Congo ambayo  ni  sehemu  ya  MONUSCO) imeichukua ngome kuu ya waasi wa M23 ya Kibati (Nyirangongo Territory - Goma, Eastern DRC).

Mizinga ya wapiganaji wetu ilirindima na kutembeza mabomu mfululizo huku askari wetu wa miguu wakipanda mlima ulio eneo hilo na kisha kuichukua ngome hiyo...



TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari