Mmiliki wa clabu ya liver pool john henry amesema kuwa hawawezi kumuuza mchezaji huo kwenda kokote pale kwani hakuna kipengele kinachoruhusu mchezaji huyo kumuuza pindi timu inayo muhitaji kufikia dau la paund mil 40.Suarez kaanza kutumia adhabu aliyopewa na clabu iyo ya kufanya mazoezi peke yakeKUPATA UKWELI HALISI WA JAMBO HILI BOFYA HAPA CHINI
<<BOFYA HAPA>>

