Jana aliweka ratiba yake nzima kwa kutweet:
Botswana then South Africa. You don’t understand how much I have mad love and respect for you”
Hiyo ina maana kuwa Feza ataenda Botswana kwa mara ya kwanza kukutana na mpenzi wake Oneal na kisha wote kwa pamoja kurejea tena nchini Afrika Kusini kuhudhuria fainali za Big Brother Africa.
Tarehe 17 mwezi huu, mshiriki huyo wa Tanzania kwenye The Chase aliweka hadharani upendo wake kwa Oneal alipoandika:
I Love you @Onizee and the beauty is that it’s not just empty words. May the good Lord protect us.