Like Us On Facebook

DEREVA WA ISUZU APEWA KICHAPO KUTOKA KWA ABIRIA BAADA YA KUSABABISHA AJALI....

Dereve wa Isuzu Carry akiwa amepasuka eneo la kichwa baada ya abiria kumshushia kipigo, wakati ilipotokea ajali baina ya Basi la Abiria la ZAM ZAM linalofanya route ya Ruangwa – Dar es salaam na Isuzu Carry Eneo la Mnazi Mmoja Mjini Lindi
 Abiria wakiwa wameshuka na Kuja Kumchomoa Dereva wa Isuzu carry Na kuanza kumpa kichapo Hadi pale Mpashaji wa Habari hii alipowaambia kuwa waache kumpiga la sivyo atawachukulia hatua za kisheria huku akionekana kuwapiga picha, hiyo ikawa nafuu kwa Dereva huyo kuacha kupokea 
kipigo 

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII
KAMA UMEGUSWA NA HABARI ZETU, TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU YA FACEBOOK HAPO CHINI. BOFYA "LIKE" KAMA BADO HUJA LIKE PAGE YETU.
 

KILELE CHA HABARI Copyright © 2014 -- Template created by Mbatta -- Powered by Kilelechahabari